WAZIRI WA HABARI MHE . NAPE NNAUYE ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI - Rhevan Media

WAZIRI WA HABARI MHE . NAPE NNAUYE ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI

ef1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye akizungumza katika kipindi cha michezo kinachorushwa na Radio Efm  katika ziara yake ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
ef2
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye ( kulia)  akizungumza na wafanyakazi wa Radio Efm (hawapo katika picha) wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja Mkuu wa Radio Efm Bw.Denis Ssebo.
ef3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (wa pili kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Radio ya Efm Francis Ciza (wa kwanza kulia) alipoitembelea Radio hiyo   leo Jijini Dar es Salaam wengine ni Meneja  Mkuu wa radio hiyo Bw. Denis Ssebo (wa tatu kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassani Abbas (wa kwanza kushoto).
ef4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watangazaji wa  Radio ya Efm a) alipoitembelea Radio hiyo   leo Jijini Dar es Salaam. 
ef5
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) akipata maelekezo wa namna uuandaji wa habari unavyofanywa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kutoka kwa Mhariri wa Habari wa kituo cha televisheni cha TV1 Bibi. Lulu Sanga(kulia) katika  ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.   
ef6
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (aliyekaa) akionyeshwa muundo wa studio ya kituo cha Televisheni cha Tv1 na Mkuu wa Uzalishaji wa Vipindi Bw.Mukhsin Mambo (kushoto) wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
ef7
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha Televisheni cha TV 1 wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari  hiyo   leo Jijini Dar es Salaam. 
ef8
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi  wa radio Times fm Bw.Rehule Nyaukwa (katikati) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassani Abbas  wakati wa ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari  hiyo   leo Jijini Dar es Salaam. 
ef9
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akionyeshwa namna urushwaji wa matangazo unafovyanywa kwa kutumia la matangazo ya nje (OBVAN) na Afisa Tehama wa radio Times Fm Bw Dickson Zuri watika ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari   leo Jijini Dar es Salaam. 
ef10
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Radio ya Times Fm wakati ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari   leo Jijini Dar es Salaam. (Picha  na Lorietha Laurence WHUSM).
Previous
Next Post »