Wanawake wawili wanaodaiwa ni rai wa Kenya wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi baada ya kutuhumiwa kuiba nguo ndani ya duka la nguo kwenye Jengo la Hifadhi House lililopo karibu na mzunguko wa Sanamu ya Askari Posta jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
Wanawake wawili wanaodaiwa ni rai wa Kenya wakiwa wakitokwa na machozi huku wakificha sura zao baada ya kupokea kipigo kutoka kwa wananchi.
Wezi wa nguo wakipanda kwenye gari la polisi.
Wananchi wakiwa kwenye eneo la tukio wakishuhudia wezi hao.
Sign up here with your email