VIDEO : ASKOFU GWAJIMA ASEMA YEYEY NI MASHINE UKIWEKA MGUU LAZIMA AKUSAGE - Rhevan Media

VIDEO : ASKOFU GWAJIMA ASEMA YEYEY NI MASHINE UKIWEKA MGUU LAZIMA AKUSAGE

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.                      

Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."                   

"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."

==>Msikilize LIVE Hapo chini
 
Advertisement
==

Previous
Next Post »