TANGA UWASA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA. - Rhevan Media

TANGA UWASA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA.

GUJU

 Mtaalamu wa Mazingira wa Mamlaka
ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Ramadhani
Nyambuka akisistiza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu huduma kwa
mteja wakati wa semina ya waandishi wa habari kuelekea kilele cha
maadhimisho ya wiki ya maji Machi 22 mwaka huu
 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akizungumza jambo wakati wa kikao hicho leo


 Afisa Ankra wa Mamlaka ya Maji
Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga( Tanga Uwasa) Ruluani Luambo
akisistiza jambo wakati wa semina hiyo
  Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akifuatilia matukio mbalimbali
kwenye semina hiyo
 Mwandishi wa Shirika la
Utangazaji la Tanzania (TBC) Joachim Kapembe akiuliza swali kwenye
semina hiyo kulia ni
 Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo

 Waandishi wa Habari Jijini Tanga wakifuatilia matukio mbali mbali

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu wiki ya
kuadhimisha wiki ya maji iliyoanza Machi 16 hadi Machi 22 mwaka huu
kulia kwake ni Meneja Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka hiyo,Haika
Ndalama
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.
Previous
Next Post »