RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA. - Rhevan Media

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA.


 DOMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo tarehe 9/03/2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
mua1
Mh. Rais  Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumalizika kwa kikao cha baraza la mawaziri mjini Dodoma leo kulia ni Mh. Mwaziri Mkuu Kassim Majaliwa
mua2 Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na  Mh. Mwaziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa kikao cha baraza la mawaziri mjini kilichofanyika mjini Dodoma leo
mua3
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo
mua5
Waziri wa Habari, Utamadunzi , Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akimuelrezea jambo Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Charles Mwijage wakati wa mkutano Baraza la Mawazili uliofanyika mjini Dodoma leo.
mua6
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo mjini Dodoma.
Previous
Next Post »