NYAYO ZA ZAMADAMU ZATIKISA MAONESHO YA ITB UJERUMANI - Rhevan Media

NYAYO ZA ZAMADAMU ZATIKISA MAONESHO YA ITB UJERUMANI


NYAYO
Picha ya mchoro wa binadamu wa kale wakitembea katika eneo la Laeto lilililoko km 45 kusini mwa Olduvai gorge.
NYAYO 1
Mhifadhi wa Masalia ya kale (Palentolojia) wa makumbusho yaTaifa Dkt. Agnes Gidna akitoa maelezo kuhusu historia ya binadamu wa kale pamoja na nyazo zake zilizoumbuliwa Laetori Tanzania kwa wageni wanaotembelea banda la Tanzania .
NYAYO 2
Mtangazaji wa kituo cha Umma cha televisheni cha Ujerumani Bw. Hoeks akifanya mahojiano mubashara na Mhifadhi wa Palentolojia wa Makumbusho yaTaifa Dkt. Agnes Dignambele picha ya mchoro na nyayo  zazamadamu ndani ya banda la Tanzania  lililopo katika maonesho ya ITB Berlin Ujerumani.

NYAYO 3
Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw. Geofrey Meena (wapilikulia) akitoa maelezo kwa wageni kuhusu vivutio mbalimbali vilivyopoTanzania kwa wageni wanaotembelea banda la Tanzania katika maonesho ya ITB.
…………..

Na: GeofreyTengeneza- Berlin.
Nyayo na picha za michoro ya binadamu wa kale (zamadamu) zinazooneshwa katika banda la Tanzania kwenye maonesho ya Kimataifa ya ITB yanayoendelea hapa Berlin Ujerumani sambamba na maelezo sawia ya historia yake inayotolewa na mhifadhi wa Paleontolojia (masaliaya kale)  Dkt. Agnes Gidna kutoka Makumbusho yaTaifa Bi wakishirikiana na maafisa waandamizi wa Bodi ya Utalii Tanzania inawapagaisha maelfu ya wageni wanaotembelea banda la Tanzania katika maonesho hayo.
Nyayonamichorohiyoyabinadamuwa kale anayesadikiwakuishimiakatakribanimilioni 4 iliyopitakatikaeneo la Laetorikilometa 45 kusinimwaOldvai gorge pamojanavielelezombalimbalivyavivutiokadhaamuhimuvya Tanzania kama vile mlima Kilimanjaro, Bonde la Ngorongoro, wanyamawanaohamakatikahifadhiyaTaifaya Serengeti n.kvimekuwachachuyakuvutiawageniwanaotembeleabanda la Tanzania ambaopiawameoneshadhamirakubwayakuitembelea Tanzania.
KwamujibuwaMkurugenziMwendeshajiwaBodiyaUtalii Tanzania BiDevotaMdachipamojanautangazajimkubwawavivutiombalimbalivyautaliivya Tanzania unaofanywakatikamaoneshohaya, TTB imeamuapiamwakahuukuwekamkazomaalumukatikakuitangaza Tanzania kamachimbuko la binadamuwa kale.
Previous
Next Post »