NEWS : TUNDU LISSU ASAFIRISHWA KUELEKEA DAR ES SALAAM AKIDAIWA KURUKA MASHARTI YA DHAMANA rhevanstudio 09:46:00 rhevanstudio Mbunge Tundu Lissu(CHADEMA) amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo nyumbani kwake Dodoma na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email