NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO - Rhevan Media

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO



 Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde (wa tatu kulia) aongoza matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno Jumapili asubuhi  mjini Dodoma katika eneo la Nyerere square ambapo kilele cha wiki ya afya ya kinywa na meno Tanzania na maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa na meno duniani yamefanyika katika eneo hilo.
Wakiwa katika Maandamano katika baadhi ya Barabara za Dodoma.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na Madaktari na viongozi mbalimbali
Wanafunzi wa Sekondari ya Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya matembezi hayo.

Previous
Next Post »