MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MURIET - Rhevan Media

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MURIET




Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mh: Athuman Kihamia ,ametembelea kata ya Muriet na kujionea maendeleo ya kata hiyo hususani kwenye swala la ujenzi wa Kituo cha Afya cha Muriet,Ofisi ya Kata ya Muriet sambamba na Kituo cha Polisi cha Muriet .
 
Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Kata wa Muriet akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wakikakua ujenzi wa Kituo cha Polisi.picha na Imma msumba
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mh: Athuman Kihamia Akiwa ameongozana na Wakuu wa Idara mbali mbali kutoka Ofisi ya Jiji wakikagua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Muriet Ulipofikia kwa sasa.picha na Imma msumba
Muonekano wa juu wa  Kituo hicho cha Afya kinavyoonekana ambapo ujenzi unaendelea kwa sasa.picha na Imma msumba
Wakuu wa Idara mbalimbali wa Jiji la Arusha wakiwa wameongozana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Kata ya Muriet.picha na Imma msumba
  Muonekano wa nje wa  Kituo cha Polisi cha Muriet kinachoendelea kujengwa  ulipofikia kwa sasa.picha na Imma msumba. 
  

Previous
Next Post »