Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na waandishi wa Habari ambao hawapo
pichani kuhusiana na suala hilo

Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda
cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pandey akizungumza na waandishi wa
habari leo kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutotoa kibali
cha ubora unaohitajika na hivyo kusitisha uzalishaji

MBUNGE wa Jimbo la Tanga kupitia
Chama cha Wananchi CUF Alhaj Mussa Mbaruku amemuomba Waziri wa Viwanda
na biashara Charles Mwijage kuingilia kati ucheleweshawajiwa wa cheti
cha ubora wa viwango unaotolewa na shirika hilo la TBS na kusababisha
zaidi ya watumishi 300 kupoteza ajira baada ya kiwanda hicho
kufungwa.

Ameyazungumza hayo jana baada ya siku kadhaa kutolewa taarifa kwenye
vyombo vya habari kuwa shirika hilo limechangia kwa kiasi kikubwa
kupoteza ajira kwa zaidi ya watumishi 300 kutokana na agizo lao la
kusitiza uzalishaji katika kiwanda hicho kwa madai ya kukosa ubora
unaotakiwa.
Alionyesha masikitiko yake hayo juu ya hataua iliyochukuliwa na shirika
hilo la Ubora wa viwango Tanzania (TBS) ya kukifungia kiwanda cha Saruji
cha Kilimanjaro kilichopo Jijini Tanga kwa kudaiwahawajafikia ubora
unatakiwa katika bidhaa hiyo bila ya kuangalia athari za mwekezaji huyo
na ajira zilizopotea kiwandani hapo.

Aidha alisema ni jambo la kushangaza kwa viongozi wa mamlaka hiyo
husika(TBS)ambapo kwa namna moja au nyingine wanaonekana wanaikwamisha
Serikali katika mpango wake wa kukua katika uchumi wa viwanda ambavyo
vinaweza kuwa mkombozi wa ajira hapa nchini.

“Serikali inapambana na uchumi wa viwanda vitakavyoweza kusaidia ajira
kwa vijana wetu sasa kinachotokea katika kiwanda hiki kunaonekana kuna
watu wachache wanataka kumkwamisha muwekezaji huyu,hivi wizara husika
iko wapi?nini hatma ya mwekezaji huyu na kufanya hivi hatuoni kama
tunawafukuza hawa wawekezaji?”Alihoji Alhaj Mbaruku.
Hatua ya kusitiza huduma ya uzalishaji wa kiwanda hicho licha ya
kuathiri ajira za wafanyakazi hao lakini pia itasababisha serikali
kukosa mapato yanayoweza kusaidia kukuza uchumi wa Taifa na Mkoa wa
Tanga .

Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Kiwanda hicho,Vivek Pandey alisema
kinachowaasumbua wao ni cheti bora kutoka kwa shirika la viwango cha
kutambuliwa hivyo wanaomba suala hilo liingiliwe kati na mamlaka husika
ikiwemo serikali ili waweze kuendelea na uzalishaji ambao utaweza
kuongeza wigo wa ajira kwa vijana.

Alisema baada ya taarifa zao kutoka kwenye vyombo vya habari alifika
mmoja kati ya wataalamu kutoka katika shirika hilo Jijini Dar es saalm
na kuondoka na sampo ya bidhaa hiyo ambapo mpaka sasa bado hawajapata
majibu sahihi ya hatma yao.

“Baada ya taarifa zetu kuruka kwenye vyombo vya habari siku ya pili tu
alitumwa mtu kutoka makao makuu ya TBS Jijini Dar es salaam na
niliondoka nae sambamba na sampo ya bidhaa hiyo nahii leo ja
(jana)kwenda tena ili kuona hatua gani zimechukuliwa dhidi
yetu”Alisema Pandey.

Aidha alisema hatua hiyo ya kusitisha uzalishaji mbali na kupoteza ajira
kwa vijana lakini wamekisababisha hasara kiwanda kwa zaidi ya shilingi
Milioni 200 ambazo zinatokana na tani elfu 11 zilizozalishwa kisha
kuonekana zipo chini ya kiwango.

Sign up here with your email