Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma
Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Sir George Kaham, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa akiwafariji watoto wa
Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar
es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akitoa
heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Sir George Kaham, katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam
leo.
Mjane wa Marehemu Sir Georeg Kahma, Mama Janeth Kahama akitoa
heshima za mwisho kwa Mwili wa mumewe, katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam leo.
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sign up here with your email