MAJALIWA ATMBELEA KIWANDA CHAKUTENGENEZA NA KUKARABATI MELI CHA MAURITIUS - Rhevan Media

MAJALIWA ATMBELEA KIWANDA CHAKUTENGENEZA NA KUKARABATI MELI CHA MAURITIUS

BIBI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bibi Veroniqu Gorrioch kuhusu utengeneza na ukarabatiwa meli, pantoni na boti wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, pantoni na boti cha Contier Naval Del’ Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21, 2017.
SZU 1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, boti cha pantoni cha Contier Naval Del’ Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius 
Previous
Next Post »