JESHI LA WANANCHI LAKWEPA KUKATIWA UMEME, LAIPOZA TANESCO BILIONI MOJA - Rhevan Media

JESHI LA WANANCHI LAKWEPA KUKATIWA UMEME, LAIPOZA TANESCO BILIONI MOJA

Mkuu Mpya wa Majeshi ya Wananchi, Jenerali Venance Mabeyo mapema leo Machi 26.2017 amekutana na vyombo vya habari mbalimbali katika makao makuu ya jeshi hilo NGOME, Jijini Dar es Salaam na kutoa taarifa fupi juu ya deni kubwa la kiasi cha Tsh. Bilioni 3 ambazo wanadaiwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
TANESCO imeelezwa kuwa walitoa hati ya kukatiwa umeme katika makambi yao yote  ya majeshi nchi nzima.
Akizungumza katika tukio hilo ambalo lilikuwa ni la muda mfupi, Mkuu huyo wa Majeshi Jenerali Mabeyo amesema kuwa,  awali walipewa taarifa kutoka TANESCO za kusitisha huduma za umeme kwa vikosi vyao vyote vya jeshi la ulinzi wa Tanzania kutokana na deni kubwa hilo la Bilioni 3 wanalodaiwa huku wakitakiwa mpaka  ifikapo siku ya kesho Machi 27.2017 wawe wamekatiwa umeme, zoezi ambalo linatokana na kauli ya Rais Dkt. John Magufuli la kuwakatia umeme wadauwa sugu.
Akifafanua hilo, Mkuu huyo wa majeshi  Jenerali Mabeyo amesema, msingi mkubwa wa deni hilo ni kutokana na matumizi makubwa ya umeme yalipo kwa jeshi hilo na ukubwa  wa mtawanyiko wake uliopo nchini.
“Jeshi linatumia mitambo mikubwa na dhana inazotumia ambapo zingine zinatakiwa kuwashwa muda wote wa masaa 24, katika kulinda na kuhimalisha ulinzi wa Taifa. Na hivi tunavyofanya ni kutokana na kukuwa kwa teknolojia duniani na jeshi linalazimika kuenda na ukuaji huo na usipoendana na ukuaji huo unaachwa nyuma na wewe unaathirika kitaifa” ameeleza Jenerali Mabeyo.
Aidha sababu kubwa nyingine aliyoeleza Jenerali Mabeyo ni ufinyu wa bajeti ambao umekuwa ni changamoto kwa jesho hilo ambalo inaikabili  katika mahitaji makubwa ya jeshi.
“ Lakini baada ya kupokea madai haya ya TANESCO,kufuatia agizo la Mh.Rais, Jeshi la wananchi limetafakari na  limefanya jitihada za kupata fedha za kupunguza deni ili. Tunadaiwa kiasi kidogo kinachozidi  Bilioni 3, Tayari nimewaagiza watendaji wetu watafute kiasi cha Bilioni moja na  kuhakikisha kesho Machi 27. 2017, wanapeleka haraka cheki ya pesa na  inawafikia TANESCO haraka ili kuonesha nia njema ya kulipa deni hilo  ili huduma hiyo iendelee kutolewa kwa vikosi vyote vya Tanzania pamoja na kwamba fedha hizo hazijamaliza deni zima.” Alieleza Jenerali Mabeyo.
Na kuongeza kuwa:  Pamoja na deni ili la tanesco, Jeshi ili linadaiwa na wadhabuni wengine wanaotoa huduma kwetu na hazina wameanza kutoa fedha kidogokidogo ilikupunguza madeni haya.Juhudi hizi za kupunguza madeni, tunaomba zioneshwe na taasisi zingine za Serikali.
Kwa upande mwingine, tunaomba tukumbushe tu  kwamba. Suala la ulinzi kwa taifa  halina mbadala. Hivyo kusitisha huduma yoyote, ni kuathiri usalama wa taifa, ndo maana tunaomba wanaotoa huduma kwetu wazingatie suala zima la ulinzi wa taifa na kwamba kadri tunavyolipa tunaomba wapokee.
Jeshi ili limetafakari na kupitia mashirika yake, kupitia NYUMBU, SUMA JKT,  MZINGA  kuanzisha miradi mbalimbali za uzalishaji mali ikiwemo viwanda vitakavyozalishwa hapa hapa nchini ili mwisho wa siku zizalisha bdhaa zitakazoweza kutumiwa na wananchi na jeshi lenyewe ili kupunguza utegemezi serikalini hatua hii itainua uchumi wetu. kwa sasa tumeandaa waraka wa serikali ili ujadiliwe na baraza la mawaziri namna ya kuendeleza shirika la nyumbu na tunaamini watapitia na utekelezaji wake.
“Mwisho napenda kuchukua nafasi hii. Kuwajulisha watanzaia wote  kuwa Jeshi la ulinzi wa tanznaia la lipo imara. Na linaendelea na jukumu lake la msingi kulinda nchi yetu, watu na mali zao kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na  usalama na hivyo nchi yetu kuendelea kubaki kuwa nchi ya amani na usalama

Na kuongeza kuwa:  Pamoja na deni ili la tanesco, Jeshi ili linadaiwa na wadhabuni wengine wanaotoa huduma kwetu na hazina wameanza kutoa fedha kidogokidogo ilikupunguza madeni haya. Juhudi hizi za kupunguza madeni, tunaomba zioneshwe na taasisi zingine za Serikali.
Kwa upande mwingine, tunaomba tukumbushe tu  kwamba. Suala la ulinzi kwa taifa  halina mbadala. Hivyo kusitisha huduma yoyote, ni kuathiri usalama wa taifa, ndio maana tunaomba wanaotoa huduma kwetu wazingatie suala zima la ulinzi wa taifa na kwamba kadri tunavyolipa tunaomba wapokee.
Jenerali Mabeyo pia amegusia mashirika ya jeshi hilo katika kuyajengea uwezo ili kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ambapo amesema haya:
“Jeshi ili limetafakari na kupitia mashirika yake kama MZINGA, NYUMBU na  SUMA JKT,   kuanzisha miradi mbalimbali ya uzalishaji mali ikiwemo viwanda vitakavyozalishwa hapa hapa nchini ili mwisho wa siku vizalishe bidhaa zitakazoweza kutumiwa na majeshi pamoja na Wananchi ili kupunguza utegemezi serikalini hatua hii itainua uchumi wetu. Kwa sasa tumeandaa waraka wa Serikali ili ujadiliwe na baraza la mawaziri namna ya kuendeleza shirika la NYUMBU na tunaamini watapitia na utekelezaji wake. Alieleza Jenerali Mabeyo.
Akitoa rai kwa Taifa, Jenerali Mabeyo amesema: “Mwisho napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha watanzaia wote,  kuwa Jeshi la ulinzi wa Tanzania lipo imara. Na linaendelea na jukumu lake la msingi kulinda nchi yetu, watu na mali zao kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na  usalama na hivyo nchi yetu kuendelea kubaki kuwa nchi ya amani na salama” amesema Jenerali Mabeyo wakati wa kumalizia taarifa yake hiyo.

Mkuu Mpya wa Majeshi ya Wananchi, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza katika tukio hilo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani)
Mkuu Mpya wa Majeshi ya Wananchi, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza katika tukio hilo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) juu ya kulipa deni lao la umeme wanalodaiwa na TANESCO
Previous
Next Post »