Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero uliopangwa kukamilika mwezi Februali 2017, sasa umekamilika kwa 100% na liko tayari kuzinduliwa.
Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili za mkoa wa Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na Mkoa wa Ruvuma, litaokoa maisha ya wananchi wa wilaya hizo ambao katika kipindi chote cha mwaka walikuwa wakipata shida kuvuka mto huo huku shughuli za usafirishaji wa mazao ya mpunga, ufuta, mahindi, ufugaji na madini zitarahisishwa, kuongeza pato na kukuza uchumi wa Taifa.

Pia kukamilika kwa daraja la Mto Kilombero kutarahisisha usafiri kutoka Dar kwenda Songea – Ruvuma ambapo ni mbali mfupi sana kwa kupitia Mikumi-Ifakara-Mahenge mpaka Songea kuliko kupitia Iringa-Njombe mpaka Songea.
Rais wangu… chachu ya utatuzi wa kero sugu za wanyonge nchini..
Nchi yangu…
Matokeo chanyA+
Matokeo chanyA+
Sign up here with your email