ANUANI YA DODOMA - OWM KVAU - Rhevan Media

ANUANI YA DODOMA - OWM KVAU

JANM

TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu inapenda kuwatangazia umma wa Watanzania  pamoja na Wadau wake , kuwa, Anuani yake mpya ya Dodoma ni:-
      Katibu Mkuu.
      Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana, Ajira   na Watu Wenye Ulemavu,
Jengo la LAPF House,
Ghorofa ya 9, Mtaa wa Uhindini,
Barabara ya Makole,
S.L.P 2980
DODOMA.
Simu: 026-2963450/51
Barua pepe: ps@kazi.go.tz
Tovuti: www.kazi.go.tz
Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini.
     17/3/2017
Previous
Next Post »