UPEPO WANG'OA PAA LA JENGO LA BUNGE GHANA - Rhevan Media

UPEPO WANG'OA PAA LA JENGO LA BUNGE GHANA

Upepo wang'oa paa la jengo la bunge GhanaHaki miliki ya pichaJOY FM
Image captionUpepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana
Shughuli za ukarabati zinaendelea kwenye jengo ya bunge nchini ghana baada ya upepo mkali kung'oa sehemu zya paa la jengo hilo siku ya Jumanne jioni.
Kisa hicho kilisababisha kusitishwa vikao kwa ghafla wakati mvua ilianza kunyesha ndani ya jengo.
Wafanyakazi walijaribu kukinga baadhi ya maeneo yaliyoachwa wazi kwa kukusanya maji wakitumia ndoo.
Upepo wang'oa paa la jengo la bunge GhanaHaki miliki ya pichaJOY FM
Image captionUpepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana
Jengo hilo lililo kwenye mji mkuu Accra lilikarabatiwa miaka miwili iliyopita.
Upepo wang'oa paa la jengo la bunge GhanaHaki miliki ya pichaJOY FM
Image captionUpepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana
Previous
Next Post »