UHUSIANO KATI YA PETE ZA BAHATI NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA MWANADAMU - Rhevan Media

UHUSIANO KATI YA PETE ZA BAHATI NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA MWANADAMU

Kabla  hatujafahamu   kuhusu  pete  za  bahati  ni  vyema  na haki tukajua  kuhusu  IMMO Ring.

IMMO  Ring  ni  pete  inayo  undwa  na madini  aina  tano  ambayo  ni  Shaba, Dhahabu, Fedha, Zinki na  Chuma jambo  ambalo  ni  muhimu  sana  katika  kuvuta  na  kuweka  uwiano kati  ya  maisha  ya  mwanadamu  (  human  life  ) na  vitu  asilia vinavyo  mzunguka  (  nature ). 

Hii  ni  kwa  sababu  hata  " nature" yenyewe  inaundwa  na  vitu  vikuu  vitano  ambavyo  ni Moto, Maji, Udongo, Hewa  na Anga. Hii  ndio  sababu  IMMO Ring  ndio  pete pekee  ya ajabu  inayo  leta  majibu  na  matokeo  makubwa  na  mazuri  sana
kwa  mtumiaji.

Neno  IMMO   ni muunganiko  wa  maneno  mawili  ya  lugha  ya  kiingereza   ambayo  ni  IMMOVABLE  MOVER  au  IMMOVED  MOVER   ikiwa  na  maana  ya  MHAMISHAJI  ASIYE  HAMISHIKA.  Pete  hii  imepewa  jina  hilo  kutokana  na  uwezo  wake  wa  kufanya  maajabu  makubwa.
Beyonce  Knowles  akiwa  na  Immoring

Pete  ya  IMMO  Ring  ina  nguvu  za  ajabu  sana  na  inaweza kukusaidia  kutimiza  jambo  lolote  lile  unaloli hitaji  katika maisha  yako, ili  mradi  halipo  kinyume  na  sheria  za  nchi  yako.
 
Pete  hii  inaweza  kukusaidia  katika  masuala  ya  biashara,  mali, utajiri, ndoa, kazi, mahusiano, uongozi, kujikinga  na  wachawi, ulinzi (Kujikinga  na  wizi  & majambazi  ) nakadhalika.  Kwa  wale  wanao  hitaji  mali  na  utajiri, pete  hii ya  maajabu  imewasaidia  maelfu  ya  walio  bahatika  kuitumia  na inaendelea  kuwasaidia  maelfu  kwa  mamia  ya  wanao itumia.
GHARAMA  YA  PETE  HII  YA  MAAJABU:
Pete  hii  hutolewa   kulingana  na  kiwango  cha  madini  ( karats) kilichotumika  kutengeneza  pete  husika. Kwa  kiwango  cha  chini  kabisa, pete  hii  hupatikana   kwa  malipo  ya  shilingi  Elfu  Hamsini  tu  ( Tshs.50,000/=).

Zipo  Immo  Ring  zinazo  uzwa  hadi  mamilioni  ya  shilingi  kutegemeana   na  kiwango  cha  madini  yaliyo  tumika. Hizi mara  nyingi  hutumiwa  na  watu  wenye  uwezo  mkubwa.
Hata  hivyo  ufanisi  wa  pete  hizi  uko  sawa  sawa  bila  kuzingatia  tofauti  za  viwango  vya  madini  yaliyo  tumika  kutengeneza.

Pete   inayo  uzwa  shilingi  Elfu  Ishirini  na  Tano hata  mtu  wa  hali  ya  chini   kabisa  anaweza  kuimudu
Previous
Next Post »