PICHA WEMA SEPETU NA WENZAKE WATUA CENTRAL POLISI DAR - Rhevan Media

PICHA WEMA SEPETU NA WENZAKE WATUA CENTRAL POLISI DAR

SeeBait
Kufuatia agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuwataka baadhi ya mastaa wanaoshukiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya madawa ya kulevya kuwasili kituo cha polisi cha kati siku ya leo baadhi ya mastaa wametii agizo hilo na kuwasili.

Wema Sepetu ambaye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotuhumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Da es salaam Paul Makonda kwamba anatumia Madawa ya kulevya, amewasili kituoni hapo  huku akiwa amevalia vazi la  hijab.

Wasanii wengine waliofika kituoni hapo ni pamoja na TID, Nyandu Tozzy pamoja na mtangazaji wa Clouds TV Babu wa Kitaa. 
TID akiwa kituoni hapo

Previous
Next Post »