Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa kwanza kulia) akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.
Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.

Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( hayupo
pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele
mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa katikati) akiwa amesimama kiukakamu wakati
Paredi ikipita mbele yake( haipo pichani ) kabla kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.

Baadhi ya wahitimu wa mafunzo wakiwa wamesimama kikakamavu wakati wakila viapo vya utii na nidhamu katika utendaji
wa kazi.
wa kazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza kwenye mkutano uliofanyika jana
mjini Morogoro ulioandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) walipokutana na Wahifadhi Wakuu wa Mapori ya Akiba nchini kwa lengo la kuweka mikakati ya kukabiliana na tatizo la ujangili.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kufunga mafunzo ya jeshi Usu yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na
Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa kwanza kulia) akiangalia sehemu ambapo
wahitimu wa mafunzo walilenga shabaha kwa kutumia risasi ya moto kwenye picha inayoonekana wakati wa
kufunga mafunzo ya wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.
Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja
na viongozi wa taasisi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa kwanza kushoto) mara baada kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo
cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda
( wa pili kushoto) Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango Mtaiko ( wa
tatu kushoto) pamoja na Mwakilishi wa
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, David Kanyatta ( wa pili kulia) pamoja na Naibu
Mhifadhi Mkuu Ngorongoro, Dkt. Maulusi Msuha ( wa kwanza kulia)

………………………………………………………………………………………..
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi, amesema
hatamvumilia mtumishi yeyote atayejihusisha
na vitendo vya rushwa kuwa ni lazima ataondolewa mara moja ili asiendelee kuchafua taswira ya Wizara.

Alitoa
rai hiyo jana wakati akifunga mafunzo ya
jeshi Usu kwa wahifadhi wa
wanyamapori 103 kutoka Mamlaka ya
Hifadhi Tanzania (TANAPA), Mamlaka ya
Usimamizi wa Wanyamapori ( TAWA)
na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA).

Alisema
Wizara kwa sasa inabadili mfumo wa kiraia na kuendesha kwa mfumo wa kijeshi hivyo mtumishi yeyote
asiyejihusisha na vitendo viovu vya namna yeyote Yule hatasalimika.

Wakati
huo huo , Maj. Gen. Gaudence Milanzi alifungua
mafunzo ya ukakamavu kwa maafisa wanyamapori wa daraja la pili kutoka TAWA yatakayochukua muda wa wiki tano lengo likiwa ni kuwandaa watumishi wa taasisi
hiyo katika kuboresha mbinu za kupambana na majangili.

Akizungumza jana na wahitimu hao kabla ya
kufunga mafunzo hayo katika kituo cha
Mafunzo cha Mlele mkoani Katavi ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,
Maj. Gen. Milanzi aliwataka wahifadhi
hao wakaoneshe kile walichojifunza kwa kwa kujenga mahusiano mazuri na wanavijiji
wanaozunguka hifadhi nchini baadala ya
kujenga uadui.

Aliwasihi
wahitimu hao kutumia silaha kwa weledi pale inapobidi hasa inapohitajika
kunusuru maisha ya watu na sio kuua.

Aidha,
Milanzi aliwaagiza wakuu na viongozi wa taasisi zote zilizo
chini ya Wizara wahakikishe wanashiriki katika mafunzo hayo kwa kuwa
Wizara inatoka kwenye mfumo wa kiraia na kuelekea kwenye mfumo wa kijeshi katika utendaji wa shughuli
za uhifadhi nchini.

Akitoa
maelezo ya awali kabla ya hotuba ya Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii,
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, David Kanyatta aliwataka wahifadhi
waliopewa mafunzo hayo wakajitume kwa kufanya kazi kwa bidii katika vituo vyao vya kazi ili kuonesha tija
kwa taifa katika uhifadhi.

Kabla
ya kuwahutubia wahitimu hao, Katibu Mkuu Milanzia alioneshwa mbinu mbalimbali
kwa vitendo walizojifunza katika kupambana majangili ambao wamekuwa wakitumia
silaha nzito wakati wakifanya ujangili.

Sign up here with your email