IKULU YAKANUSHA TAARIFA FEKI INAYOSAMBAZWA MITANDAONI KUHUSU RAIS MAGUFULI - Rhevan Media

IKULU YAKANUSHA TAARIFA FEKI INAYOSAMBAZWA MITANDAONI KUHUSU RAIS MAGUFULI


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa ametahadharisha umma kuhusu habari hii bandia inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Msigwa ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa taarifa hiyo si ya Ikulu na kuwa imetengenezwa na wahalifu wa mitandao hivyo kwa kuwataka wananchi kuipuuza.
Taarifa ya uongo inayosambazwa ni hii… Tafadhari ukiiona ipuuze!