WAZIRI WA HABARI ,UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO MHE. WAMBURA AONGOZA MAZOEZI UWANJA WA SAMORA IRINGA ASUBUHI YA LEO - Rhevan Media

WAZIRI WA HABARI ,UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO MHE. WAMBURA AONGOZA MAZOEZI UWANJA WA SAMORA IRINGA ASUBUHI YA LEO


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (wa  tatu kutka  kushoto mwenye kikoi shingoni ) akizindua rasmi mazoezi  ya  viungo kwa  mkoa wa Iringa kama agizo la  serikali kila jumamosi ya pili ya  ya mwezi wananchi  wote kushiriki mazoezi ,kushoto kwake ni mbunge wa Kilolo Venance  Mwamoto  na kulia ni mbunge wa  viti maalum mkoa  wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG
 Katibu tawala wa  mkoa wa Iringa Wamoja  Ayub kulia  akifurahia mazoezi kulia kwake ni mbunge Mwamoto  na mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza
 Afisa habari  Manispaa ya  Iringa  Sima Bingieki wa  kwanza  kushoto   akishiriki mazoezi  leo uwanja  wa  samora
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa  pili  kulia  akifurahia  mazoezi na mkuu wa  mkoa wa Iringa Amina Maasenza  wa kwanza  kulia
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na  viongozi mbali mbali wakiongozwa  kufanya mazoezi na Dc Iringa  Richard Kasesela
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura kulia akifanya mazoezi ya  viungo na mbunge  wa  viti maalum mkoa wa Iringa  Ritta Kabati  katika  uwanja  wa  samora  Iringa  leo
Watumishi  ofisi ya  mkuu wa Mkoa na  RPC Iringa  wakiwa katika mazoezi
Baadhi  ya  wananchi  wa mji  wa  Iringa  wakiwa  katika mazoezi  leo kutoka  uwanja  wa  samora  kuelekea  ofisi ya RC Iringa
Hivi ndivyo  wananchi  walivyoshiriki mazoezi  Iringa
Wananchi  walioshiriki mazoezi  wakiwasili  ofisi ya RC Iringa  wakitokea  Samora
Wananchi na  viongozi  walioshiriki mazoezi wakiingia  viwanja  vya RC Iringa
Kila  mmoja  afurahia mazoezi
Mazoezi  kwa  afya 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na  viongozi mbali mbali wakiongozwa  kufanya mazoezi na Dc Iringa  Richard Kasesela,wa  kwanza  kushoto  ni mkuu  wa mkoa Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa  maalum mkoa  wa Iringa  Ritta Kabati ,mbunge  wa Kilolo Venance  Mwamoto na katibu tawala  mkoa  wa Iringa  wamoja  Ayub
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akipongeza  wananchi  kwa  kuitikia mazoezi ,katikati ni mkuu wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa  wilaya  Iringa Richard Kasesela
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi  Iringa  leo
Mazoezi  ya  viungo  kwa afya  yakiendelea
Ni  Full mazoezi  Iringa
Previous
Next Post »