WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFY BUGURUNI - Rhevan Media

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFY BUGURUNI

DEH

Waziri wa Afya Mhe.  Ummy Mwalimu atembelea kituo cha afya buguruni akiwa na Waziri wa Maendeleo wa Denmark mhe Martin Bille Hermann pamoja na Mkuu wa Wilaya Bi.  Sophia Mjema. Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia utoaji wa huduma za Afya  katika Vituo vinavyomilikiwa na Serikali. Demnark ni mmoja wa Wafadhili wakubwa wa Sekta ya Afya nchini kupitia Mfuko wa Afya wa Pamoja (Health Basket Fund).
Previous
Next Post »