WATAALAMU WA TAKWIMU ZA MAZINGIRA WAJENGEWA UWEZO - Rhevan Media

WATAALAMU WA TAKWIMU ZA MAZINGIRA WAJENGEWA UWEZO

nik1Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.nik2
Mkuu wa Sehemu ya Takwimu kutoka Umoja wa Mataifa Divisheni ya Takwimu (UNSD) Bibi. Reena Shah akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.nik3
Mtaalamu wa Takwimu kutoka Sekretarieti  ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Michael Gitau Gituanja akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.nik4
Meneja wa Takwimu za Mazingira akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira  mapema hii leo jijini Dar es Salaam.nik5
Baadhi ya washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za Mazingira wakifuatilia mada zilizokuwazikiwasilishwa wakati wa ufunguzi wa hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.nik6
Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »