Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni
Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
(JKCI) Bashir Nyangasa na Dk. Sun Long wakimfunga bandeji mgonjwa leo baada ya kumaliza kumfanyia upasuaji wa kuunganisha mishipa ya damu (AVF-
Arterio Venous Fistula) kwa ajili ya kusafishia damu kwa wagonjwa wenye matatizo
ya figo (Hemodialysis).
Daktari bingwa wa upasuaji wa kifua, moyo na mishipa ya damu
wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Wambura Wandwi (Kulia) na Dkt.
Bingwa wa Upasuaji Hussein Hassan wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa
kuunganisha mishipa ya damu (AVF- Arterio Venous Fistula) kwa ajili ya kusafishia
damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo (Hemodialysis). Kushoto ni Afisa
Muuguzi wa chumba cha upasuaji Sr. Elina Mulenda.
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni
Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
(JKCI) Bashir Nyangasa (aliyevaa kofia ya pinki) akiwaonyesha kitu Dkt. bingwa
wa upasuaji wa kifua, moyo na mishipa ya damu Wambura Wandwi (Kulia) na Dkt.
Bingwa wa Upasuaji Hussein Hassan wakati wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa
kuunganisha mishipa ya damu (AVF- Arterio Venous Fistula) kwa ajili ya kusafishia
damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo (Hemodialysis).
Picha na Anna Nkinda - JKCI
Sign up here with your email