VIDEO ; MCHEKESHAJI CHAKU MASTER AZISHAURI TIMU ZINAZOSHIRIKI KOMBE LA FA - Rhevan Media

VIDEO ; MCHEKESHAJI CHAKU MASTER AZISHAURI TIMU ZINAZOSHIRIKI KOMBE LA FA

Tokeo la picha la MCHEKESHAJI CHAKU MASTER


Mchekaji wa Mjini Songea mkoani Ruvuma Chaku Master, amezitaka timu ambazo zinashiriki kombe la Azam Sport Federation (FA CUP ) hasa zile ambazo hazipo ligi kuu Tanzania bara, kukaza katika michezo hiyo ili ziweze kutwa ubinga wa FA CUP na sio kuwa wasindikizaji ama kukaa na kusema kombe hilo ni la timu kubwa tu, huku akitolea mfano wa mchezo wa mwaka jana kati ya Yanga na JKT Mlale ambayo yanga ilipata ushindi kwa tabu zaidi. Hii hapa video yake.



Previous
Next Post »