VIDEO :JUMA PONDAMALI "MENSAH" AFUNGUKA - Rhevan Media

VIDEO :JUMA PONDAMALI "MENSAH" AFUNGUKA



Mcheza soka mkongwe  Juma Pondamali “Mensah” ambeye kwa sasa ni kocha wa makipa wa  Yanga  amefunguka mbelea ya Super News Tv Online na kumtaja kocha ambaye alimkuza kisoka toka akiwa mdogo yaani umri wa miaka 13-14.
Juma Pondamali alikuwa ni golikipa hodari aliye fanikiwa kuiwakilisha Tanzania miaka ya 1980 katika michuano ya “African Cup of Nation”.
Tumia dakika zako kadhaa kuitaza hii video ili ujue mengi kuhusu Nyota huyo.  Endelea kutufuatilia hapa soon tutakuletea Taarifa yake mpya ya kuachia wimbo wake wa singeli…..


Previous
Next Post »