TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU - Rhevan Media

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU

tanzania

Ofisi ya Waziri Mkuu  inapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017  Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu  itakayo tumika ni  S.L.P. 980 DODOMA na SIMU: 026 2322480  Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya Anuani  ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.
 Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu  kuhamia Makao Makuu ya Serikali Dodoma.
          Karibuni Dodoma
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
OFISI YA WAZIRI MKUU
31/1/2017
Previous
Next Post »