PICHA: ZIARA YA WAZIRI WA AFYA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK KATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI - Rhevan Media

PICHA: ZIARA YA WAZIRI WA AFYA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK KATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametembelea Kituo cha Afya Buguruni akiwa na Waziri wa Maendeleo wa Denmark, Martin Bille Hermann pamoja na Mkuu wa Wilaya, Sophia Mjema.
Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia utoaji wa huduma za Afya  katika vituo vinavyomilikiwa na Serikali ambapo Demnark ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa sekta ya afya nchini kupitia Mfuko wa Afya wa Pamoja (Health Basket Fund).
MO Blog imekuwekea picha za ziara hiyo.
Previous
Next Post »