PICHA : HIVI NDIVYO TRUMP ALIVYOSEREBUKA MARA BAADA YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA 45 WA MAREKANI - Rhevan Media

PICHA : HIVI NDIVYO TRUMP ALIVYOSEREBUKA MARA BAADA YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA 45 WA MAREKANI


Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii. 

Aliungana na wanajeshi wa nchi hiyo mjini Washington. Familia yake pamoja na Makamu wake, nayo ilikuwepo. Kwenye hotuba yake fupi kwenye hafla hiyo, Trump ameahidi mabadiliko makubwa kwenye sera za nchi yake. Tazama picha zaidi.
Previous
Next Post »