OSHA YAVUKA MALENGO YA UKAGUZI - Rhevan Media

OSHA YAVUKA MALENGO YA UKAGUZI

OSHAMtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) Dkt. Akwilina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu  wakala huo kufanikiwa kuvuka lengo kwa kufanya kaguzi 41,551 katika kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2016. Kulia ni Mkurugenzi wa Usalama na Afya wa OSHA Bw. Alex Ngata.
Baadhi ya waandishi wa habari wakufuatilia mkutano wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) leo jijini Dar es salaam.OSHA 1
Previous
Next Post »