Muandishi wa habari Rahma Suleiman akiuliza swali kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Memistocles katika mkutano wake na wandishi wahabari uliofanyika katika ukumbi wa Rahaleo.
Mkurugenzi wa huduma za sheria Tume ya Taifa ya Uchaguzi Emanuel Kawishe akitoa ufafanuzi wa maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari katika Mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki mkutano wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi uliofanyika Ukumbi wa Rahaleo Mjini Zanzibar wakifuatilia mkutano huo.
Sign up here with your email
