MWENYEKITI WA MTAA WA OYSTERBAY ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA MZIMA 2016 - Rhevan Media

MWENYEKITI WA MTAA WA OYSTERBAY ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA MZIMA 2016



Serikali ya Mtaa wa Oysterbay imeendelea kutekeleza maagizo na maadhimio mbalimbali yaliyoafikiwa ikiwamo kutatua changamoto na kero zinazowakabili Wananchi. Mtiririko wa Taarifa hiyo umejikita zaidi  kwenye maeneo ya ulinzi na Usalama wa Mazingira,mapato na matumizi na maendeleo kwa ujumla wake.                                                
 Mwenyekiti wa Mtaa serikali ya Mtaa Oysterbay Bw Zefrin Lubuva akizungumza na wajumbe pamoja na wananchi wa mtaa wa oysterbay kuhusubTaarifa hio ya Mwaka wa 2016 jijini Dar es salaam.
  Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Kinondoni Bw Abubakar Kunga akiongea na wananchi wa Mtaa huo kihusu amani na usalama kuelekea Mwaka mpya Unaoanza na kuwasihi wananchi kuwa makini wao wenyewe na mali zao kwa ujumla. Picha na Yassir Adam.                        


Previous
Next Post »