MLIPUKO WA UGONJWA WA MANJANO WAIBUKIA BRAZIL VIFO VYAONGEZEKA KWA KASI YA AJABU - Rhevan Media

MLIPUKO WA UGONJWA WA MANJANO WAIBUKIA BRAZIL VIFO VYAONGEZEKA KWA KASI YA AJABU

Brazili kupambana na ugonjwa wa manjanoHaki miliki ya pichaEPA
Image captionBrazili kupambana na ugonjwa wa manjano
Maafisa nchini Brazil wameamuru kufanyika kwa takriban chanjo milioni 11 na nusu ya homa ya manjano.
Taifa hilo kwa sasa linakabiliwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa huo.
Wizara ya afya nchini humo imethibitisha wagonjwa 70 wa ugonjwa huo na vifo vya watu 40 katika maeneo ya mashambani katika jimbo la Minas Gerais.
Mamia ya wagonjwa wamekuwa wakichunguzwa kama wameambukizwa na ugonjwa huo.
Previous
Next Post »