Shirika
linalosimamia maafa nchini Indonesia limetoa taarifa kwamba takriban
watu 23 wamekufa kutokana na moto uliozuka kwenye meli liiyokuwa
imewabeba zaidi ya watu 200 katika pwani ya Jakarta
Meli hiyo ilikuwa safarini kuelekea katika kisiwa cha utalii cha Tidung.
Waokoaji bado wanaendelea kuwatafuta watu 17 ambao hawajulikani walipo.
usafiri wa majini unategemewa sana nchini Indonesia taifa lililo na visiwa zaidi ya elfu 17.
Sign up here with your email