MEFICHUKA;HIKI NDIYO CHANZO CHA MATAJIRI WENGI WA BONGO,WANAYAFANYA HAYA KWA SIRI KUBWA BILA KUJULIKANA - Rhevan Media

MEFICHUKA;HIKI NDIYO CHANZO CHA MATAJIRI WENGI WA BONGO,WANAYAFANYA HAYA KWA SIRI KUBWA BILA KUJULIKANA


Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo:


1- Wanafanya kazi kwa bidii zote - sio wavivu.
2- Hujali wakati zaidi ya fedha - sio wazembe
3- Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) - hawaruki huku na kule.
4- Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. - Hawaogopi kufanya vitu.
5- Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha.
6- Hujishusha ili kujifunza mambo mapya - husikiliza watu wengine.
JIULIZE KAMA UNA TABIA HIZO. Ukijifunza tabia hizo utakuwa tajiri 100
Previous
Next Post »