Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mambo ya nje, Ulinzi na usalama, Katiba na
sheria Mtandao na Mbunge wa Muheza Mhe. Balozi Adadi Rajabu akiongea na wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea
marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania
Wajumbe wa Mtandao wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania
wakipewa somo
Wajumbe wa Mtandao wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania wakifuatilia mada
Mjumbe wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, Ulinzi na usalama, Katiba na
sheria Mhe. Profesa Anna Tibaijuka akitoa neno
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mambo ya nje, Ulinzi na usalama, Katiba na sheria Mtandao na Mbunge wa Muheza Mhe. Balozi Adadi Rajabu katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge na wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania
Sign up here with your email
