Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard Chamriho akitoa salamu kwa niaba ya serikali wakati wakati wa kuaga mwili wa Rubani na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) marehemu Kenan Mhaiki Rubani wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kwenda Songea mjini mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika leo Januari 4, 2017 kwenye Makaburi ya Matogoro.
Waombolezaji wakimpa mkono wa pole kaka wa marehemu Bw. Oliver Mhaiki
Sign up here with your email