MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA NJOMBE - Rhevan Media

MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA NJOMBE

agaooo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na baadhi ya wanawake wa Njombe kabla ya kuondoka kwenye Ikulu ndogo  baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo  Januari 28, 2017. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri.agao 11
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Luth Msafiri kwenye Ikulu ndogo ya Njombe baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo, Januari 28, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous
Next Post »