MADAWA YA KULEVYA YAMWATHIRI ALIYEKUWA MSHIRIKI WA BIG BROTHER - NANDO - Rhevan Media

MADAWA YA KULEVYA YAMWATHIRI ALIYEKUWA MSHIRIKI WA BIG BROTHER - NANDO

Ni kijana aliyeshiriki big brother mwaka 2013, kama mwakilishi wa Tanzania, kutokana na hali ngumu ya maisha kijana huyu alijidumbukiza kwenye janga kubwa la matumizi ya madawa ya kulevya

Kwa sasa hali ya Afya ya Nando si nzuri imezorota kutoakana na matumizi ya madawa ya kulevya yaliyo kithiri,

Hii iwe kama kengele kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio “ujanja” ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lakini majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.

Previous
Next Post »