JE WAJUA ? LUGHA AMBAYO IPO HATARINI KUPOTEA KABISA DUNIANI. - Rhevan Media

JE WAJUA ? LUGHA AMBAYO IPO HATARINI KUPOTEA KABISA DUNIANI.

Image may contain: 1 person, sitting, sunglasses and closeup

Lugha ambayo ipo hatarini kupotea kabisa inaitwa 'ayapa zoque' kwa sasa lugha hii inaongewa na watu wawili tu hapa duniani, na watu hawa wamenuniana kwa kuwa hawapatani kabisa.
Previous
Next Post »