Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa Hakielimu. |
Mmoja wa waanzilishi wa taasisi ya HakiElimu, Japhet Makongo akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu. |
Dk. Jovita Katabalo akiwasilisha mada katika hafla ya uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu. |
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo. |
Kutoka kushoto (2) ni sehemu ya wanachama waanzilishi wa Taasisi ya HakiElimu wakiwa na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu. |
Sehemu ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage (kulia) akijadiliana jambo na mmoja wa wageni waalikwa katika uzinduzi huo. |
Sehemu ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo. |
Baadhi ya wanachama waanzilishi wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika uzinduzi huo. |
Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi hiyo. |
Sehemu ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa na viongozi mbalimbali katika hafla ya uzinduzi huo. |
Sign up here with your email