HABARI MBAYA HIVI PUNDE KUTOKA UGAIBUNI : WATU 45 WAFARIKI KWENYE AJALI MADAGASCAR - Rhevan Media

HABARI MBAYA HIVI PUNDE KUTOKA UGAIBUNI : WATU 45 WAFARIKI KWENYE AJALI MADAGASCAR

Tokeo la picha la CRASH MADAGASCARManusura wamepelekwa katika hospitali za karibu
Image captionManusura wamepelekwa katika hospitali za karibu
Pametokea vifo vya watu wengi katika ajali nchini Madagascar baada ya lori lililokuwa limebeba watu waliotoka kwenye harusi kupata ajali na kuzama kwenye maji.
Mamlaka nchini humo zinasema kuwa takriban watu 45 wakiwemo watoto tisa na wanandoa wa harusi hiyo wamefariki.
Zaidi ya wengine 20 kwenye gari hilo wamenusurika.
Meya wa eneo hilo amesema kuwa chanzo halisi cha ajali hiyo bado hakijafahamika.
Previous
Next Post »