MSANII MWENYE NJAA YA MAFANIKIO ANATAFUTA MANAGEMENT - Rhevan Media

MSANII MWENYE NJAA YA MAFANIKIO ANATAFUTA MANAGEMENT

Rich Mozilah ni msanii chipukizi  wa kizazi kipya ambaye anafanya vizuri sana. Moja kati ya kibao chake kikali ni kile cha African Queen ambacho kinatamba sana katika baadhi ya station za radio hapa nchini. Akiongea katika interview ya TBC radio na King dee Mozilah alisema kuwa mpaka Sasa amesharekodi nyimbo 5 lakini changamoto kubwa anayopata ni kukosa management ambayo itasimamia kazi zake. Hivyo anaomba kama kuna mtu yeyote atajitokeza na kutaka kusimamia kazi zake yupo tayari kufanya nae kazi
Unaweza kuwasiliana na Mozilah kupitia number zifuatazo Whatsapp: 0654761780
Call : 0755376269
Email : richmozilah93@gmail.com
Previous
Next Post »