ENEO LILILOKUWA KIOTA MAARUFU CHA CLUB BILLICANAS BAADA YA KUTEMBEZEWA NYUNDOZZ - Rhevan Media

ENEO LILILOKUWA KIOTA MAARUFU CHA CLUB BILLICANAS BAADA YA KUTEMBEZEWA NYUNDOZZ




Hivi ndivyo lionekanavyo eneo lililokuwa na kiota maarufu cha burudani Club Billicanas, baada ya kutembezwa nyundozz na wamiliki wa eneo hilo ambao ni Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), sijui ni kitu gani kingine kitajengwa katika eneo hili.


Previous
Next Post »