Gari ndogo aina ya Toyota Ruxi yenye nambari za usajili T 530 DHT imenusurika kupiga mzinga asubuhi hii katika barabara ya Mandela jijini Dar es salaam, baada ya tairi moja ya mbele kulia kupasuka wakati ikiwa kwenye mwendo. hakuna madhara yaliyotokea katika tukio hilo.