BREAKING NEWS : KATIBU MKUU WA SIMBA PATRICK KAHEMELE AACHIA NGAZI - Rhevan Media

BREAKING NEWS : KATIBU MKUU WA SIMBA PATRICK KAHEMELE AACHIA NGAZI


Taarifa tulizozipata kutoka kwa  Kahemele zinaeleza aliandika barua na kamati ya utendaji ya Simba, imepitisha hilo.

Upande mwingine wa taarifa, umeeleza Kahemele anarejea na kujiunga na Azam TV ambako alikuwa akifanya kazi kabla.

“Kweli anaondoka, leo kamati ya utendaji ya Simba imekubaliana naye,” kilieleza chanzo.

Juhudi za kuwapata viongozi wa Simba walizungumzie hilo, zinaendelea.
Previous
Next Post »