- Rhevan Media

BODI YA FILAMU TANZANIA YAWAKUTANISHA WADAU WAKE KWENYE KIKAO KAZI CHA KUANDAA SERA YA TAIFA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fissoo akitoa mchango wake mbele ya wajumbe wanaoshiriki kikao kazi cha maandalizi ya rasimu ya sera ya filamu nchini. Katika tiniraiswa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifamba.BOG
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu za kitanzania Chiki Mchoma akiwasilisha hoja kama mdau wa tasnia ya filamu mbele ya wajumbe wa kikao kazi cha kuandaa rasimu ya sera ya filamu nchini. Wengine kwenye picha kuanzia kulia ni Mwnyekiti wa Bodi kuu Sylvester Sengerema, Mwenyekiti wa kikao VonavyaloLuvanda, KatibuMtendajiwaBodiyaFilamu Tanzania Joyce Fissonaraiswashirikisho la filamunchini Simon Mwakifwamba.BOG 1
Wajumbembalimbaliwanaoshirikikikaokazi cha kuandaarasimuya sera yafilamunchiniwakifuatailiakwamakinihojainayowasilishwanammojawawajumbewakikaohicho(hayupopichani). KikaohichokinafanyikamjiniBagamoyokwenyeTaasisiya Sanaa Bagamoyo (TaSUBA).BOG 2
Wasaniinawadauwatasniayafilamuwanaoshirikikikaokazi cha kuandaarasimuya sera yafilamuwakifurahiajambonamwandishimkongwewariwayanamiswadayafilamuAmriBawji(mwenyebaraghashia).KikaokazihichokinafanyikaukumbiwamikutanowaTaasisiya Sanaa Bagamoyo (TaSUBA.
……………..BOG 3

Kilio cha mudamrefu cha wadauwasektayafilamunchinisasakinaelekeakupataufumbuziwakudumubaadayaBodiyaFilamu Tanzania kuwakutanishawadau wake kwaajiliyamaandaliziya sera mahususiitakayotoamwongozonakuendelezasektahiyonchini.
SektayafilamunchiniimekuwaikisimamiwanaSera yaUtamaduninaSheriayaFilamunaMichezoyakuigiza Na. 4  yamwaka 1976pamojanakanunizake.Kukosekanakwa sera mahususiyafilamunchinikuliibuachangamotombalimbali. Changamotohizonipamojanakuwepokwafilamunamichezomingiyakuigizainayotayarishwachiniyaviwango, kutokuwepokwamitajinauwekezajiwakutosha,sektayafilamukutoendeshwakibiashara, kukosekanakwamifumo bora yausambazaji, kutokuwepokwaweledinaubunifuwakutosha, uharamiawakazizafilamun.k.
ChangamotozilizoainishwahapojuuzilibainikabaadayaBodiyaFilamu Tanzania kwakushirikiananawadaumbalimbalikufanyatafitikuhusuhalihalisiyatasnia (situational analysis) nakuuwasilishambeleyakikaokazi cha wadaukilichofanyikatarehe 3 Oktoba, 2016 ukumbiwauwanjawaTaifa. Kwenyekikaohicho, Waziri waHabari, Utamaduni, Sanaa naMichezoMheshimiwaNape Nnauye,aliagizauongoziwaBodiyaFilamu Tanzania nawizarayakekushirikianapamojakuhakikisha sera mahususiyafilamuinapataikanamapemaiwezekanavyo.
Sera hiyomahsusiyafilamunchiniinategemewakuwamwarobainiwachangamotozinzoikabilisektahiyokwamudamrefusasa. Ikumbukwewadauwatasniayafilamunchiniwamekuwawakilalamikakukosamapatostahiliyanayotokananakazizao, kushindwakupatamitajiyakuwawezeshakuwekezamiundombinuyakisasakwenyeuzalishajinamfumohafifuwakupambananauharamiawakazizao.
OfisiyaMawasilianonaUhusiano
Previous
Next Post »