WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU.....AKERWA NA MSONGAMANO KATIKA WODI YA WAZAZI rhevanstudio 08:31:00 rhevanstudio Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mkoa ya Mount Meru ambako kulikuwa na tuhuma za kuibwa watoto, lakini alishuhudia wazazi watatu wakilala kitanda kimoja. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email