Mamia ya wasichana katika kaunti ya Pokot Magharibi
iliyo Magharibi mwa Kenya wamejificha mashuleni kufuatia hofu kuwa
watalazimishwa kupashwa tohara wakati wa likizo, kwa mjibu wa gezeti la
Standard.
Maafisa wa serikali wanawalinda wasichana hao, ambao wamepiga kambi kwenye shule tofauti.
Kampeni kadha za kupinga upashaji tohara wasichana zimefanyika nchini Kenya huku zingine zikipata mafanikio.
Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa Unicef, linasema kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamepashwa tohara kwenye nchi 30.

Sign up here with your email