Kwa kutumia michoro na kufinyanga aliweza kuweka picha, vichekesho, burudani na kubadilisha muonekano wa jumba hilo la Sanaa kuonekana kama ni mahali palipovurugwa na kuchanganya na kuweka kwenye mabadiliko
Alizaliwa Innsbruck mwaka 1959 na kuishi kwenye mji wa Vienna, wachambuzi wanasema kwamba Peter ni aina tofauti ya kizazi cha uchoraji cha kompyuta ambaye ni ugunduzi na ufumbuzi na mbunifu wa michoro na kwa zaidi ya miaka 30 amefanya kazi na kuwashangaza wengi wa watazamaji wake duniani.
Sign up here with your email